
Huyu ni producer na mmiliki wa studio ya c9 records ambayo imegharimu zaidi ya mil. 25 ta kibongo na iliandaliwa tangu miaka mitano iliyopita, maarufu na ametengeneza nyimbo kama Mama Ntilie ya A.T na nyimbo nyingi za marehemu Sharo milionea.
Hivi sasa anawania tuzo ya KTMA kwenye kipengele cha mtayarishaji bora wa muziki wa bendi na hivi karibuni amepata ajali ya bajaj na kuumia kichwani.
C9 anaendelea vizuri na hiyo picha ndiyo jinsi alivyoumia na bajaj jinsi ilivyoharibika
没有评论:
发表评论