
Baada ya ajali hiyo Fab amemshukuru Mungu kwa kumuepusha yeye dereva wake na madereva wawili wa lori kutoka salama na kusema hii ndio mara yake ya kwanza kupata ajali ya gari, imemshtua na imemuonyesha jinsi mambo yanavyoweza kubadilika haraka so ‘Live, Love, & Celebrate Life. #Blessed’ alimalizia kwa kuandika hivyo
没有评论:
发表评论