Aliandika Hivi Instagram “Wezi wamevunja Kioo kidogo wamenikombea kila kitu mpaka nyimbo zangu . #wameanza kuvujisha ngoma zangu nimeskia Wimbo Wangu wa #Tubebane umeenea kila Kona naombeni mliochukua vitu vyangu naombeni nirudishieni #flash yangu au msivujishe ngoma zangu hii nimeiskia ya #Tubebane please please msifanye hivyo vitu bebeni haina neno ila flash yangu tuu. Ilikuwa maeneo ya kariakoo mtaa wa rhumumba.
”

没有评论:
发表评论