Kupitia kipindi cha Leo tena February 28 Wema Sepetu amekubali kutaja sifa za mwanaume anayempenda kuwa na mvuto kwake
Mimi nampenda Mwanaume mweusi,wanaume weupe sio kwamba sijawahi kuwa nao lakini nakuwa sina mzuka nao’.
Alipoulizwa kuhusu uhusiano wake na Diamond?...... ’Kweli niko na Nasib[Diamond] na nadhani muda huu kutakua na utulivu
ndani yake,ule utoto tuliokua tunafanya nadhani ulikua utoto na imekua
Power Couple toka mwaka 2010 kwa hiyo tuna ni miaka 4 sasa,kwa sasa
tumeamua kuwa serious’.