2014年2月27日星期四

HAWA NDIO WASANII WANAOINGIZA MKWANJA MREFU KENYA



Music Copyright Society Of Kenya (MCSK) imetoa list ya wasanii wa Kenya maarufu na wanaoingiza mkwanja mrefu kwa mwaka huu 2014, katika chati ambayo imetawaliwa na maveterani nafasi ya kwanza imekamatwa na Kalenjin Kotestes band.

Wakali wengine kama vile  Nameless, Collo and Wahu wamekamata nafasi zao kwenye list hiyo huku rappers pekee waliomo kwenye list wakiwa Nonini, Camp Mulla and Octopizzo. 

CHECK LIST YOTE HAPA:
1.Kalenjin Junior Kotestes Band

2.Dennis Waweru Kaggia (DNA)

3.Hubert Mbuku Nakitare (Nonini)

4.Collins Mike Majale (Collo)

5.David Kamoni Mathenge (Nameless)

6.Gloria Owendi Muliro

7.Jean Pierre Nimbona (Kidum)

8.Angela Chibalonza Muliro

9.P Unit

10.Linet Masivo Munyali (Size 8)

11.Daddy Owen

12.Victor Mbuvi

13.Octopizzo

14.Dennis Mutara

15.Sauti Sol

16.Wahu

17.Pastor Joel Kimetto

18.Les Wanyika

19.Ulopa


20.Camp Mulla

没有评论:

发表评论