Baada ya scandals mbali mbali na kukamatwa kamwata kwa makosa mbalimbali kulikofanya watu wamcriticise ile kwa sana Justin Bieber amewatumia ujumbe wale wanaom-critisise kuwa he cannnot be brocken.JB ameachia ngoma inayokwenda kwa jina la Brocken feb 21, ngoma hiyo iliwekwa youtube baadae ikatolewa.
isikilize hapa:
没有评论:
发表评论