Chris Brown aitaja May 5 kuwa siku atakayoachia albam yake 'X',
posted 8 hours ago by Eddy Msafi.
baada ya kukamilisha siku 90 za kukaa Rehab kwa amri ya mahakama. sasa kilichobaki ni kuzindua rasmi album yake ya 'x'
Aliandika hivi “‘X’ is by far my best album yet…setting the date for MAY 5.”
Album hiyo ilitarajiwa kutoka july 2013 ila matatizo aliyopata ndo yalisababisha hakuiachia na alitupromise atatoa mwishoni mwa 2013 pia ikazingua sababu ya rehab siku 90.
Chris ameachia wimbo aliofanya na Tyga ulioko kwenye project yao ya ‘Fan of a Fan 2’ walioupa jina la ‘B***ches’
没有评论:
发表评论