William Masvinu
Huko nchini Zimbabwe wamefanya mashindano ya kumtafuta binadamu mwenye sura mbaya kuliko wote nchini humo ambapo ,
William Masvinu ameibuka mshindi na kuondoka na mkwanja kiasi cha $100 na kulala usiku mzima kwenye hotel ya kifahari.
Pia amezawaida ada ya shule ya mwaka mmoja kwa mtoto wake mmoja.
没有评论:
发表评论