2014年2月27日星期四

UGANDA KUIKOSA FACEBOOK




Baada ya rais wa Uganda Yoweri Museveni Kusaini muswada wa kupinga ushoga kuwa sheria ambapo watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsia moja kukabiliwa na adhabu kali, wananchi wa Uganda wako katika hatari ya kukosa huduma za facebook, Whatsapp And Instagram.

Hii inakuja baada ya mataifa mengi ya magharibi kupinga tukio hilo na kutishia kutoipa Uganda misaada ambapo kwa upande wao facebook wamesima watasitisha huduma zao nchini humo kwasababu serikali ya Uganda inakandamiza haki za wachache.

CHECK STATEMENT WALIOIOTA FACEBOOK:
 

STATEMENT FROM FACEBOOK ON ANTI-HOMOSEXUALITY LAW
When we launched Facebook, we thought it as a platform to advance people’s rights and liberties of self expression in all form. We were equally shocked to learn that Uganda as a country had gone ahead to sign the Anti Homosexuality bill into a law.
Facebook is currently reviewing its engagement to Uganda, as we seek to come up with a voice to express our dissatisfaction. And of course, suspending our operations in Uganda is one of the options we are considering. In the event that we suspend operations in Uganda, our platforms of Instagram, Facebook and Whatsapp will be off for a time we shall deem necessary.
We strongly condemn the act of the Ugandan Government to overstep the rights of a minority. All humans are created equal and deserve a right to freedom and happiness.
Signed
Sheryl Kara Sandberg
Chief Operations Officer (COO) At Facebook

没有评论:

发表评论