Ilifikia
wakati wasanii wachanga wanaingia studio kufanya wimbo kwa sauti na miondoka ya
Ali Kiba kama ishara ya kumiss kazi za star huyu wa Bongo Fleva, Kupitia
Instagram ya Tunda Man shabiki unafahamishwa kuwa Wimbo mkubwa utakao teka
radio na Tv hivi karibuni ni wa Ali kiba ft Fallyipupa.
Ebu
angalia post hii ya tunda man
没有评论:
发表评论