2014年5月6日星期二

KIWANGO CHA MSHAHARA ANAOPOKEA MIKE SONKO NA MATUMIZI YAKE.

sonko

Mike Sonko anakua kiongozi wa kwanza nchini Kenya kuweka wazi kiasi cha pesa anachopokea kama mshahara na matumizi yake,kwa mujibu wa jarida la NN au Nairobi News Payslip hiyo inaonyesha kwamba seneta sonko anapokea mshahara wa shilingi 532,705 pesa za Kenya kila mwezi.

Seneta Sonko anadai kwamba pesa anayo pokea hupeleka kanisani kama sadaka na mchango wake wakati wa Hafla ya michango au Harambee.

Miongoni mwa matozo katika mshahara wake ni ya kulipa mkopo aliouchukua kutoka kwa benki ilikuwasaidia waathirika wa mkasa wa moto wa Sinai [mwaka wa 2011 alipokua mbunge wa Makadara] kufanyiwa upasuaji na kukimu ada ya hospitali.

Hii ndio list ya makanisa yanayopata pesa kutoka kwenye mshahara wa Sonko mwezi machi 2014.
  • Nairobi calvary temple Buruburu Ksh 50,000
  •  
  • Pentecostal church eastleigh (kiambio) Ksh 50,000
  •  
  • AIC Jericho Ksh 100,000
  •  
  • PCEA bahati Ksh 100,000
  •  
  • PCEA Kangemi Ksh 30,000
  •  
  • FPFK Church Kibera Ksh 30,000
  •  
  • Kawangware Methodist Ksh 30,000
  •  
  • PCEA Lunga Lunga Ksh 30,000
  •  
  • St. Francis Assis Mombasa Ksh 30,000
  •  
  • Sister Vivenzia memorial foundation Ksh 50,000
  •  
  • PCEA Umoja Ksh 30,000
  •  
  • PCEA Kangemi Ksh 30,000
  •  
  • Jesus winners ministry Roysambu Ksh 30,000
  •  
  • Makongeni SDA Kshs 40,000
  •  
  • St. Joseph Catholic Church Mumbi Muranga Ksh 200,000
  •  
  • AIC Yakamete Ngelani Ksh 100,000
  •  
  • Free Medical Camp in Deep Sea Slum Ksh 450,000
  •  
  • Teen Challenge Kenya rehab center Ksh 200,000

没有评论:

发表评论