Fabolous ambae ni Rapper wa longtime kwenye
chati za muziki duniani ambae amewahi kuja kufanya show Tanzania, amepata ajali
huko Queens New York Marekani.
Baada ya ajali hiyo Fab amemshukuru Mungu kwa
kumuepusha yeye dereva wake na madereva wawili wa lori kutoka salama na kusema
hii ndio mara yake ya kwanza kupata ajali ya gari, imemshtua na imemuonyesha
jinsi mambo yanavyoweza kubadilika haraka so ‘Live, Love, & Celebrate Life.
#Blessed’ alimalizia kwa kuandika hivyo
没有评论:
发表评论