Wasanii wa kizazi kipya kutoka “TMK” Temeke jijini Dar es
Salaam, jana siku ya Jumamosi walikinukisha ndani ya Samaki Samaki mji kasoro
bahari mitaa ya Kidonda mjini Morogoro. Wakati watanzania wameelekeza Masikio
na Macho kwenye KTMA2014, wasanii hawa chini ya
MXCarter Entertainment wakishirikiana na NYUMBaNI Park Walifanya show kali kwa
ajili ya wakazi wa mjini morogoro ambapo walisheheni eneo la tukio kushuhudia
majabali hayo mawili yakiungurumisha ngoma zao mpya na za zamani.
没有评论:
发表评论