2014年4月27日星期日

75% YA PHOTOSHOOT HIZI ALIZOPIGA RIHANNA NI NAKED DAAAH.

20140427-171007.jpg

Bad Gal Rihanna mwezi huu ndani ya Balcony ya HollyWood Hills ndani ya California State, alifanya photoshoot kwa ajili ya French Magazine ambayo alikua amevaa Top tu ambayo ilikua inaonyesha sehemu zake za maziwa na sehemu zake zingine zote zikiwa wazi.

20140427-164309.jpg


Mwanadada Rihanna ambae hakuonyesha hata kustuka baada ya kuona paparazzi wa TMZ kwanupande wa pili sababu vizuizi vya Balcony hiyo vilikua vya kioo na kuonyesha kila kitu huku aliwa na wapiga picha wa kiume ambao walikua kifua wazi pamoja na wasaidizi wengine lakini ukaaji wake uchi huo Bibie Rihanna alikua poa kabisa huku akibetua “Matako” na kupiga “Bend Over” ya hatari bila kujali utupu aliokua nao.


20140427-170817.jpg
20140427-170834.jpg



没有评论:

发表评论