chechekigazeti
2014年4月22日星期二
TAZAMA JINSI PRODUCER C9 ALIVYOUMIA KICHWA MARA BAADA YA KUPATA AJALI.
Huyu ni producer na mmiliki wa studio ya c9 records ambayo imegharimu zaidi ya mil. 25 ta kibongo na iliandaliwa tangu miaka mitano iliyopita, maarufu na ametengeneza nyimbo kama Mama Ntilie ya A.T na nyimbo nyingi za marehemu Sharo milionea.
Hivi sasa anawania tuzo ya KTMA kwenye kipengele cha mtayarishaji bora wa muziki wa bendi na hivi karibuni amepata ajali ya bajaj na kuumia kichwani.
C9 anaendelea vizuri na hiyo picha ndiyo jinsi alivyoumia na bajaj jinsi ilivyoharibika
没有评论:
发表评论
较新的博文
较早的博文
主页
订阅:
博文评论 (Atom)
没有评论:
发表评论