Mwanamitindo Kim Kardashian
anaendelea kujipanga zaidi kwa ajili ya siku ya ndoa yake na rapper Kanye West
ambayo inatarajiwa kuwa moja kati ya matukio yatakayoteka vichwa vingi vya
habari May 24 mwaka huu.
Chanzo kimoja kimeliambia jarida la
Grazia kuwa Kim Kardashian ameanza kulala na kivazi maalum ‘corset’ ambacho
kinasaidia kutengeneza umbo lake ili awe na muonekano mzuri zaidi katika siku
hiyo ya ndoa.
“Kim wants her figure to look
absolutely perfect on her wedding day. Wearing a corset at night is extremely
uncomfortable but has a proven record of results, and with six weeks to go, Kim
is up for anything.” Kimesema Chanzo hicho.
Imeelezwa kuwa Kim amejipanga
kutengeneza muonekane wake ikiwa ni pamoja ngozi wakati wanafamilia hao
watakapokuwa mapumzikoni nchini Thailand
没有评论:
发表评论