Kundi la Weusi linaloundwa na
rappers toka Arusha limewapa shavu wakali wa bongo flava Ommy Dimpoz na Linah
kwa mara ya kwanza katika project yao.
Ommy Dimpoz amepost picha kwenye
Instagram inayomuonesha akiwa na Nikki wa Pili na G Nako na kuandika, “Weusi
feat pozkwapoz & LinaH comin soon....”
Kundi la Weusi limeachia picha
ambayo inawaonesha wakiwa wamevaa kitamaduni ambayo inaashiria ujio wa project
yao mpya.
没有评论:
发表评论