BIG SEAN AZINGUANA NA MPENZI WAKE SIKU CHACHE KABLA YA HARUSI.
Star wa Glee Naya Rivera ambaye amekuwa
mpenzi wa rapper Big Sean wa Good Music ametengana na rapper huyu sababu
ikisemekana kuwa ni usaliti wa uliofanywa na Big Sean. have called off their
wedding.
Jarida la Star limeripoti kuwa Big Sean amesema hapata kuwa na harusi
tena na kuwa ni kweli alimsaliti Naya.
Msemaji wa Rapper Big Sean Anasema baada ya
kufikiria na kuangalia mambo yote yaliyotokea na yanayoweza kutokea ameamua
kusimamisha shughuli zote za harusi, ila kuhusu usaliti wa Big Sean msemaji
huyo anasema sio kweli.
没有评论:
发表评论