amefunga ndoa na mrembo aitwaye
Hidaya.
Mtayarishaji wa Muziki ambaye ni
mmiliki wa Bongo Records, P-Funk Majani Wawili hao wamefunga pingu za maisha
jijini Arusha.
“Finally I made the big move.” Ameandika P-Funk
kwenye Instagram na Twitter na kuambatanisha picha akiwa anamvisha pete mkewe
没有评论:
发表评论