Nadhani ulipata muda wa kuyaangalia magari ya kifahari
wanayomiliki wasanii wa bongo , sasa ni zamu ya judge wa Tusker Project Fame na
Producer hatari hapa bongo kutoka B’Hits namaanisha Hermes Baraka au
Hermy B kukuonyesha magari ya kifahari anayomiliki. Hermy B
anamiliki Toyota LandCruiser VX, Range Rover Sport, Nissan Murano and a
BMW 3-Series.Duh! noma sana aisee
没有评论:
发表评论