April 06 ndiyo ilikua siku pekee kwa Wananchi
wa Chalinze kupiga kura ya kumchagua Mbunge wao kwenye uchaguzi mdogo wa nJimbo
la Chalinze,matokeo yake yametangazwa usiku wa kuamkia April 07 na msimamizi wa
kituo hicho Mr.Samuel Sajanga,
Matokeo hayo yameonyesha Chama Cha Mapinduzi
kimepata kura 28,000 ambayo ni sawa na ushindi wa asilimia 86.61,Chadema
imepata kura 2,544 ambayo sawa na asilimia 10.58,Chama cha Cuf kimepata kura
476 ambayo sawa na asilimia 1.98.
Vingine ni Chama cha Afp ambacho kimepata
kura 186 ambayo ni sawa na asilimia 0.59 na Chama cha Nra ambacho
kimepata kura 60 ambayo sawa na asilimia 0.25.
Bonyeza play kusikiliza idadi ya watu
waliopiga kura na kasoro zilizojitokeza kwenye uchaguzi huu.
没有评论:
发表评论