Mvua inayoendelea kunyesha kwa wingi katika
eneo la Dar es Salaam na maeneo mengine nchini imeripotiwa kusababisha athari
kubwa ikiwa ni pamoja na uharibifu wa makazi na miundo mbinu.
Hali hiyo imemlazimisha Lady Jay Dee kuahirisha uzinduzi wa audio na video ya wimbo wake mpya alioupa jina la Nasimama.
Lady Jay Dee ametangaza kupitia ukurasa wake wa Facebook na kuambatanisha na picha ya jinsi eneo hilo lilivyoathiriwa na mvua.
Nasikitika kutangaza kuahirishwa kwa shughuli ya utambulisho wa wimbo na video mpya ya Jaydee 'NASIMAMA'. Kutokana na hali tete ya bojo iliojitokeza ambayo iko nje ya uwezo wa binadamu.. LAKINI Wimbo na Video vitarushwa LEO ktk mtandao. Çds na DVD vitasambazwa kwa walengwa((Media)) hapo kesho na Jumatatu.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote uliojitokeza....JayDee

没有评论:
发表评论