2014年4月11日星期五

RIHANA NA DRAKE BWANA ETI WANAKAA SITI TOFAUTI HUKU WANACHEKI GAME, DAAH SIJUI WANAMAANISHA NINI




Tunajua Drake na Rihanna wako pamoja na wamepigwa picha maeneo kibao wakishikana mikono na hata wakiwa kwenye clubs tofauti kwenye nchi tofauti sasa jambo hili la kukaa kwenye viti tofauti kwenye game za Basketball linashangaza watu, walionekana kwenye viti tofauti katika game ya Clippers jumatano iliyopita.

12

Comments

没有评论:

发表评论