MAN UNITED YATANGAZA RASIMI KUMPIGA CHINI KOCHA DAVID MOYES.
Kocha David
Moyes ameondolewa rasmi kwenye majukumu yake ya ukocha katika klabu ya
Manchester United. Taarifa rasmi ya klabu hiyo imetolewa kupitia mtandao wa
Twitter unaweza kuicheki hapo chini……
没有评论:
发表评论