JAMAANI HII NI TIME YA DAVIDO WAMUACHEE, SOMA UJUE.
Show za kimataifa anazofanya Davido na
utajiri wa familia yake unamweka kwenye nafasi nzri na kupata kila atakacho
kwenye maisha. Ni Hit maker mkubwa Africa kwa sasa na Ukifuatilia radio na tv
kwa siku hutokosa kukutana na nyimbo wa Skelewu ama Aye za Davido.
Ametumia Instagram yake kuonyesha gari mpya
aliyoagiza na kwamba inakaribia kufika. Gari hii ni ya mwaka 2014 aina ya
Mercedes Benz S63 AMG ambayo thamani yake kwa sasa ni dola 140,905 ambazo nikama milioni
200 za Tanzania.
没有评论:
发表评论