chechekigazeti
2014年4月8日星期二
HII NI ZAWADI ALIYOPEWA JUSTIN BIEBER NA BOSS WA YMCMB BIRDMAN.
Birdman bosi wa YMCMB amempa smile msanii mdogo mwenye umri wa miaka 20 kwa kumpa zawadi ya gari lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 1.9 aina ya Bugatti Veyron 16.4.
Justin Bieber hakusita ku-share furaha yake baada ya ku-post picha ya gari hilo jekundu kwenye ukurasa wake wa instagram na kuandika,”Uncle Stunna luv. My first Bugatti
♛
#generosity
没有评论:
发表评论
较新的博文
较早的博文
主页
订阅:
博文评论 (Atom)
没有评论:
发表评论