MTABIRI mwenye jina kubwa kwa sasa Bongo, Maalim
Hassan Yahya Hussein ambaye ni mrithi wa kazi za marehemu Yahya Hussein
ameibuka wiki hii na kuanika kwamba, Agosti mwaka huu Nasibu Abdul ‘Diamond’ na
Wema Sepetu watafunga ndoa.
Akizungumza na Amani jijini Dar es Salaam juzikati, Hassan alisema amepiga mahesabu ya kinyota kwa wapenzi hao na kubaini kuwa, Agosti ndoa yao itafungwa mahali popote nchini Tanzania.
Akaongeza: “Kama wapo kwenye mipango au maandalizi wakazane, kwani mwezi Agosti ndiyo wenyewe kwa mujibu wa nyota za wote

没有评论:
发表评论