ALBUM COVER YA CD MPYA YA RAPPE 50 CENT 'ANIMAL AMBITION'
Rapper 50 Cent ameanza kutangaza album yake mpya baada tu ya
kusitisha mikataba yake na record lebel kubwa zilizosimamia kazi zake
kwa muda mrefu. Animal Ambition ndio jina la cd hii ya 50.
Kutengeneza attention zaidi 50 Cent kaweka majina mawili ya nyimbo
zinazokaribia kutoka kwenye album hii ambazo ni “Hold On”na “Don’t Worry
‘Bout It” ft Yo Gotti inayotoka March 18 2014. Album hii inatoka June 3
2014.
没有评论:
发表评论