Hebu mwanzo tuweke wazi hapa kabla hatuja dondosha list nzima ya wanaume aliokuwa nao Kim Kardashian, hatuwezi kusema Kim ni [ingiza neno lako hapa] kwa kuwa na mahusiano na wanaume 9 kwa muda wa miaka 33.
Unaweza kumhukumu staa huyu kwa kuwa na ndoa mbili za kuvunjika, na pia ule wakati alipotoa video ya ngono ya Kim Kardashian. Lakini kwa ujumla mwanadada huyu ni mstaarabu mwenye kutulia na mume mmoja.
Kuwa na wachumba 9 kwa muda wa zaidi ya mwongo moja na nusu....ni jambo la kawaida kwa wengine.
Kim ameweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi na wengine (Gabriel Aubry, Nick Lachey) lakini hio list hatutaingiza hapa ndani.
Kutoka tangu ule wakati ambapo staa huyu alikuwa hajulikani, hadi kwa yule aliyeigonga wa kwanza hadi wasasa...waweza kumkumbuka mmoja?
Cheki list ya mastaa 9 ambao washawahi kuwa na Kim Kardashian maishani mwake:
Kanye West amefunga ukurasa kwa kumpatia Mtoto na pia kumvisha pete. Mahusiano yao yatadumu kweli? |
没有评论:
发表评论