Mwanadada Loveness aka Diva the Boss mtangazaji wa clouds fm
kipindi cha ala za roho, kinachozungumzia maswala ya mapenzi na mahusiano…..Jana
usiku alijikuta akielezea hisia zake kwa Muigizaji Elizabeth Michel aka Lulu “Kutoka moyoni nampenda
sana huyu binti, ningekuwa mwanaume ningemfuata na kumu approach, sema mimi ni mwanamke tu”.
Hii ilikuwa kabla ya kucheza wimbo wa atatamani ambayo ni version
ilioimbwa Lulu. Wimbo halisi uliimbwa na
Linnah msanii kutoka THT.
credit: bongoclantz
credit: bongoclantz
没有评论:
发表评论