2014年3月7日星期五

NGOMA 5 BORA ZA VIPAJI VYA KUSINI HOT FIVE ZIPO HAPA



Mtiririko wa vipaji vya kusini hot 5 upo hapa ni nyimbo 5 bora zinazopatikana kwenye kipindi cha vipaji vya kusini, kinachoruka kila jumamosi saa 6 mchana hadi 9 .

1  Mwenyewe  >>> Okaroba

2  Hatuli bata   >>> Cadio ft Jam Wiz

3  Porojo          >>> King G toner

4  Leo ndio leo >>> Man unter ft Gift One

5  Size number >>> Izzo credit

Ipigie kura ngoma unayotaka  ipande au ishuke, iingie au itoke kupitia namba za simu 0785251214 tuma ujumbe mfupi wa maandishi na sio kupiga ili uwe mmoja kati ya watu wenye nia ya kukuza na kuendeleza sanaa ya muziki kusini.

没有评论:

发表评论