Chris Brown anadaiwa kuwa ataruhusiwa
kuoga mara moja tu ndani ya siku mbili akiwa jela. Staa huyo wa R&B
alitupwa jela wiki hii ambako atakaa kwa mwezi mzima baada ya kufukuzwa
rehab.
Brown atakuwa amefungiwa kwenye chumba
chake mwenyewe kwa saa 23 kila siku, kwa mujibu wa TMZ. Hata hivyo
ataweza kusoma vitabu na kufanya mazoezi na atakuwemo humo hadi tarehe
23 April.
Brown, 24 alifukuzwa rehab baada ya
kumsogelea na kumshika mwanamke kinyume na masharti ya humo, kukataa
kuchukua vipimo vya madawa ya kulevya na kwa kutoa kauli za vitisho
wakati wa therapy ya kundi kwa kudaiwa kusema “I am good at using guns
and knives.
daah cris brown mwaka huu wake sijui au ndo mambo ya album x.
没有评论:
发表评论