2014年3月21日星期五

LEO NI MIAKA 3 TANGU VITOKEE VIFO VYA WASANII WA 5 STAR, SOMA POST YA HAMMER Q'.

IMG_6620
Leo ni kumbukumbu ya vifo vya wanamuziki wa 5 Star ambayo chanzo cha vifo hivyo ni ajali ya basi aina ya Coaster iliyokuwa na namba za usajili T 361 BGE  iliyokuwa imebeba wanamuziki wa bendi hiyo ya Taarabu ya 5 Star wakitokea Kyela-Mbeya kueleka jijini Dar.

hama q
Ajali hiyo ilitokea March 21 2011 majira ya saa 2 usiku ndani ya hifadhi za wanyama za Mikumi mkoani Morogoro baada ya gari hilo kuligonga kwa nyuma roli aina ya Scania lililokuwa na namba za usajili T 848 APE ambalo lililikua linavuta tela lenye namba za usajili T 559 BDL liliokuwa na mzigo wa mbao.

Sasa ikiwa ni miaka 3 tangu kifo hicho Hammer Q miongoni mwa abiria waliyokua na basi hilo akashukia Iringa ameandika ujumbe huu kwenye ukurasa wake wa Facebook leo March 21 2014.

Screenshot_2014-03-21-17-12-17

没有评论:

发表评论