Wiki iliyoisha nchini Canada kulikua na Tuzo za Juno Awards ambazo Justin alikua mmoja wa walioshiriki katika tuzo hizo. Alifanikiwa kushinda tuzo ya Juno Fan Choice Award, lakini mara tu jina lake lilipotangazwa mashabiki wake walianza kuzomea. Kuzomea huko kulitokana na Justin kutohudhuria tuzo hizo hali ya kua ni tuzo zilizoandaliwa katika nchi aliyotoka.
Aliyem wakilisha Justin kupokea tuzo hiyo ni Serena Ryder ambae alimtetea Justin kwa kusema ”I really think that Justin Bieber is an amazing musician and he deserved every bit of that award because he’s been working his ass off his entire life and we need to support how awesome he is,”
没有评论:
发表评论