2014年3月14日星期五

KUMBE LADY JAY DEE NI NOMAA HEBU CHEKI HAPA TUZO ZAKE.


Unapozungumzia wakonge wa game ya Bongo Fleva usipomtaja mwanadada Lady Jay Dee katika list yako basi utakuwa umefeli, Lady Jay Dee amekaa katika game kwa miaka 14 na ndani ya miaka hiyo amekumbana na misukosuko, shida pamoja na nyakati za furaha pale alipofanya kazi nzuri na kuambulia zawadi kuonyesha uwepo wa kazi yake nzuri, katika nyakati za furaha Lady Jay Dee ameamua kushea na ww shabiki yake lundo la Tuzo alizowahi kuchukua ndani ya miaka hiyo 14, tazama picha hapo chini uone Tuzo hizo


Kibongo bongo hakuna msanii ambaye ana lundo la tuzo kama Lady Jay Dee mpaka sasa.

没有评论:

发表评论