Miili
ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel
Paul(3) ambao wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wakiishi
kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani majira ya saa moja asubuhi
peke yao huko eneo la mtaa wa Rufita Mwanza road Tabora mjini. |
没有评论:
发表评论