Wiki moja imepata sasa toka kundi la Weusi
wafika Nairobi na wamekuwa wakifanya interviews kutangaza kazi zao na kujuana
na wadau wa muziki mjini Nairobi. Picha mpya kutoka kwa Weusi, Nazizi na rapper
Collo wanaonekana zikiwa na Caption za kazi zaidi. Hii ilikuwa kwenye picha ya
Nazizi
“Studioni with @gnakowarawara @Producersappy n nazizi maaajabu yanaendelea nairobi#VIBURI FLOW”
Hii kwenye picha ya Weusi na Collo
“Studio with @Collins majale aka collo @gnakowarawara n robert waweshi for the remix nairobi…#VIBURI FLOW”
Hii kwenye Picha ya Weusi na Sappy
“Weusi wamevuka Boda mpaka pande zangu…na tunaharibu Session @ Studio…Tz One!!! ”

没有评论:
发表评论