Baada ya kumpa sapoti ya nguvu Drake kwenye ziara yake iliyotoa
majibu ya wazi kuwa wawili hao wana uhusiano wa kimapenzi, Rihanna
atampa shavu Eminem kwenye ziara yake iliyopewa jina la ‘The Monster’.
Eminem ameweka wazi tarehe ya kuanza ziara hiyo kupitia tovuti yake, ambapo ameeleza kuwa itaanza Los Angeles Alhamisi, August 7 na kuhamia Detroit’s Comerica Park, Ijumaa August 22.
“The tour will kick off in Los Angeles on Thursday, August 7 at the Rose Bowl with shows then lined up in New York City's Metlife Stadium on Saturday, August 16 and Detroit's Comerica Park on Friday, August 22.” Aliandika Eminem.

没有评论:
发表评论