Wengi humuita mfalme wa Hip Hop/Rap kutokana na uwezo wake
mkubwa aliounesha wa kurap enzi ya uhai wake, Christopher George Letore
Wallace aka Notorious B.I.G, aliyewakilisha label ya Bad Boy na
kuisimamia vyema Junior M.A.F.I.A Crew iliyomtambulisha zaidi Lil Kim
aka Queen Bee.
Yapo mambo mengi yanayofahamika kuhusu rapper huyu aliyefariki kwa kupigwa risasi March 9, 1997 huko Los Angeles, Marekani lakini haya ni mambo 10 muhimu unayotakiwa kuyafahamu.
Baba yake anaitwa George Latore alikuwa mwanasiasa wa Jamaica. George aliiacha familia yake wakati BIG akiwa na miaka miwili tu, na hivyo mama yake akalazimika kujiingiza katika biashara ya kuuza mwili huku akiendelea na kazi ya ualimu ili aweze kumtunza BIG.
Alipewa jina la utani BIG kutokana na kuwa na mwili mkubwa wakati akiwa mdogo.
Mama yake mzazi alieleza kuwa mwanae hakuwahi kupata chini ya ‘A’ na kwamba alikuwa na ndoto za kuwa daktari wa meno au graphic designer kabla hajaachana na shule na kuingia mtaani. Aliwahi kushinda tuzo nyingi za kitaaluma wakati yuko shule hasa katika somo la Kiingereza alilokuwa analipenda zaidi.
Christopher Wallace alipoanza kulitumia jina hilo kama jina lake kwenye rap game, alishitakiwa na Lockhart na kulazimika kubadili jina na kutumia Notorious B.I.G.
Hata hivyo, watu wake walidai kuwa jina la Biggie Small alipewa kwa utani kwa kuwa alikuwa anapenda kula nyama kubwa ya kuku na sio nyamba ndogo (Big, not Small).
Alikuwa amepanga kuonekana tena kwenye filamu nyingine akiwa anacheza kama muuza dawa za kulevya akiwa na Robert Deniro na Christopher Walken, lakini hakuweza kufanikisha kwa kuwa alikufa kabla.
kufanikisha kwa kuwa alikufa kabla.
Alipanga kuuita mgahawa huo “Big Poppa’s.”
Kwa kuwa tukio hilo linakuwa kwa ajili yake, maana ya B.IG inabidilishwa na kuwa na ujumbe unaosema Vitabu badala ya bunduki (Books Instead of Guns).

- Kuhusu familia yake

- Alisoma shule moja na wanafunzi wawili waliogeuka kuwa rappers wakubwa
- Hakuwahi kupata chini ya A alipokuwa shule
Mama yake mzazi alieleza kuwa mwanae hakuwahi kupata chini ya ‘A’ na kwamba alikuwa na ndoto za kuwa daktari wa meno au graphic designer kabla hajaachana na shule na kuingia mtaani. Aliwahi kushinda tuzo nyingi za kitaaluma wakati yuko shule hasa katika somo la Kiingereza alilokuwa analipenda zaidi.
- Aliwahi kushtakiwa kwa kutumia jina la Biggie Smalls na kulazimika kubadili
Christopher Wallace alipoanza kulitumia jina hilo kama jina lake kwenye rap game, alishitakiwa na Lockhart na kulazimika kubadili jina na kutumia Notorious B.I.G.
Hata hivyo, watu wake walidai kuwa jina la Biggie Small alipewa kwa utani kwa kuwa alikuwa anapenda kula nyama kubwa ya kuku na sio nyamba ndogo (Big, not Small).
- Alikuwa muigizaji na mchekeshaji
Alikuwa amepanga kuonekana tena kwenye filamu nyingine akiwa anacheza kama muuza dawa za kulevya akiwa na Robert Deniro na Christopher Walken, lakini hakuweza kufanikisha kwa kuwa alikufa kabla.
kufanikisha kwa kuwa alikufa kabla.
- Alipanga kufungua mgahawa wa kuuza vyakula vya asili ya Afrika ‘Soul Food’
Alipanga kuuita mgahawa huo “Big Poppa’s.”
- Alifungwa jela
- Alipata ajali ya Gari
- Mashairi yake yanatumiwa kama ‘sample’ na rappers wakubwa
- Kuhusu Foundation iliyanzishwa kama kumbukumbu yake

没有评论:
发表评论