2014年3月19日星期三

TAARIFA ZILIZOTAPAKAA KUHUSU KUKAMATWA KWA OMMY DIMPOZ NA POLISI WA MAREKANI ZIPO HAPA.


Stori: Shani Ramadhani
MKALI wa Bongo Fleva, Omari Nyembo ‘Ommy Dimpoz’ ameibuka na kufungukia ishu iliyozagaa mitandaoni kuwa alikamatwa Marekani
.


Picha iliyozua utata.
 
Akipiga stori mbili tatu na paparazi wetu, Dimpoz alisema picha zinazomwonesha akiwa chini ya ulinzi si tukio la kweli bali ni sehemu ya video ya wimbo wake mpya ambayo alikwenda kurekodia nchini humo.

...Dimpoz akiwa chini ya ulinzi katika video yake mpya.
 
“Sikuwa nimekamatwa kiukweli, ile ilikuwa ni sehemu tu ya video ya wimbo wangu ambao nilikuwa narekodi, mashabiki wangu wasinielewe vibaya. Nipo poa tu,” alisema Dimpoz.

没有评论:

发表评论