Umbea wa mjini ambao
unajulikana Dar nzima na kwa watu wa karibu wa dangote na madame ila kuna watu
ambao hawaujui Pia nimeona niwajuze na nyie ambao hamjaupata ..
Huyu ndio demu anaetoka na dangote tena alikua ni demu wa mtu wa karibu yake
kama mnamjua Prezi Tito.. Huyo prez Tito na alikua best. Sana na petitman ila
kwa sasa naona urafiki umeyumba sababu Ya hii ishu .. Demu anaitwa latifa
almaarufu kama Latifah Tito .. Sasa dangote hapo ndio anapomalizia stress Za
jiji na madame anajua hilo yaani sio Siri demu yupo na sangote kwenye starehe
zote mara kwa mara utawaona skylite pamoja na group la akina sheta.. Amefikia
hatua hadi kapangiwa na dangote kinondoni kwa manyanya pale wanapouza baiskel..
Prezitito hana sauti maana na yeye ni Mario kama alivyo petitman si unajua tena
hawa Mario hua hawanaga kitu basi hata sauti hawana wanaishiaga kulalamika
chini kwa chini .. Basi sasa hiyo ndio ishu inayoendelea mjin hata madame
analijua hilo ila ndio atafanya nini maana Latifah mbabe balaa hahaha chezaea
Halima kimwana wewe harafu mnamtukana Halima nyooo hamjui kama ndio tulizo la
dangote kwani dangote si anajua kabisa kua Halima na wema haziendani harafu si
wema ndio ubavu wa dangote plus kwani dangote na Halima wameshare tumbo moja
lakini hamjiulizi kwanini bado dangote hatengenezi njia hawa watu wakaelewana
ndio kwanza yupo na Halima wake kipenzi .. Mwenyewe anakwambia salamu zangu Za
pili ziende kwa dada yangu Halima mwambieni nampenda sana.. Halima ana nguvu
kuliko madameeeee... Sisi bado tunangojea movie .... Oopszion haha madame eti
anasema Latifah mbaya hamuingiii haya basi amuuluze dangote kamfatia nini huyo
latifah ???? Harafu walikuaga wanaelewana sana dah huyu dangote anapenda vya
karibu kama Clement vile..........Ufafanuzi:Dangote-
Diamond, Madame-Wemasepatu
Teamukwelina
uwazi mara nyingi huwahawakosei
没有评论:
发表评论