Snura Mushi 'Mamaa Majanga'.
MAMA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa katika maisha yake, hahusudu masuala ya kishirikina.Akizungumza na paparazi wetu baada ya kuvuja kwa picha zilizomuonesha akiwa kwa mganga, Snura alisema hazikuwa kwa mganga wa kweli kwani yeye haamani mambo ya kishirikina.
“Mimi na ushirikina ni vitu viwili tofauti, namtegemea zaidi Mungu katika maisha yangu, hata hizo picha zilizovuja sikuwa kwa mganga wa kweli bali ilikuwa naigiza filamu,” alisema Snura.
没有评论:
发表评论