Akizungumza na Global TV Online, Linah alisema kwa kuwa anapenda
sehemu hiyo katika mwili wake, ndiyo maana mara nyingi hupendelea
kuvaa nguo zinazoonyesha vizuri miguu yake na jinsi ilivyo mizuri.
“Ukweli huwa nachizika na upaja wangu. Napenda sana miguu yangu, ni mizuri ndiyo maana nagonga vimini au mpasuo ili mguu wangu uonekane vizuri,” alisema Linah.
没有评论:
发表评论