Ukisikia jina la Walter Chilambo bila shaka unakumbuka BSS 2012
ambaye yeye ndiyo alikuwa mshindi kati ya wale wote walioshiriki, na
ndiyo huyo aliyefanya poa sana katika chorus ya wimbo wa Godzilla
‘thanks god’.
Kwa sasa kuna ngoma ambayo anaifanya katika studio za flexible music
producer akiwa Cjamoker lakini bado haijakamilika ambapo imeipa jina la
‘speeding’, humo ndani anaelezea kuhusu maisha na vipi anaweza kupata
deal la mkwanja kupitia harakati tofauti ambazo anazifanya.
Kwasasa anasumbua sana na ngoma yake ya mavela iliyofanywa na producer ema ze boy
没有评论:
发表评论