2014年3月10日星期一

PICHA ZA MJENGO ANAOUJENGA DIAMOND ZIPO HAPA.

Diamond aonyesha mjengo wake anaoujenga na ulipofikia mpaka kwa sasa, tazama hapa picha uone jinsi ilivyofikia


bado haujakamilika ila plan zake uwe na sweeming pool na gym, mpaka sasa hatujafahamu katumia kiasi gani cha pesa kwa hapo alipofikia
 

没有评论:

发表评论