Wema ameamua kujibu mapigo hayo baada ya kuachia picha ya mpenzi wake
huyo akiwa kitandani na alama ya kiss shavuni na kufuatia na ujumbe huu
mzito ” Da love of my life…. Dats wat he is…. Our life, our rules….
Sipendi watu wanavyoingilia my love life kabisa…. I am his nd he is
mine… dats jus it…. Kama ni mshenzi ndo wangu, tahira wangu, hafai ndo
tayari wangu…. Love him jus like dat…. Mapenzi huwa hayaingiliwi hata
siku moja…. Nd dey say wapenzi wakigombana chukua jembe ukalime,
hawakukosea at all… With all due respect stop ”
Ngoja tuache movie iendelee.
没有评论:
发表评论