Morning Africa,...SIKU YA LEO UPATAPO NAFASI,HEBU JARIBU
KUFANYA MOJA YA HAYA NA UTAKUWA UMEBADILISHA MAISHA YA MTU FLANI.
-Una
mlinzi?instead ya kumfokea,Hebu leo kumbuka kumsalimu na kumtakia siku njema
huytu mtu anayekesha getini kulinda nyumba yako,bila shaka wengi hawafanyi hili
1:shiriki
bure sehemu ya chakula chako na yeyote mwenye njaa na kuhitaji
2:Shiriki
nyimbo nzuri kwa mtu mwenye huzuni ama anye feel down
3:Mfundishe
mtu ,jambo analotamani kulifaham na halifaham na ni wewe pekee unafahamu
4:Una nguo ama
chochote usichokihitaji tena?hapana usikitupe,mpatie yule mwenye kuhitaji
5:Una rafiki
ama jamaa mpweke na pengine hana mtu wa karibu wa kushare nae yanayomsibu,make
a call am text kwake,mfanye ajiskie hayupo peke yake,kwani kuna siku nawe
utakuwa mpweke na utatamani mtu wa kuzungumza nae
6:Panga ku
donate damu,damu yako kidogo inaweza ikaokoa maisha ya mtu sehemu flani..
7:Saidia mzee,ama mtoto
kuvuka barabara.
8:Ambia rafiki,family member
ama mtumishi ni kiasi gani una mwappreciate
9:Saidia mji wako kuwa
msafi,si kazi kubwa kuokota kipande cha uchafu na kuweka sehemu husika
10:Mpigie mzazi wako na
kumwambia ni kiasi gani unampenda
11:Motivate mtu flani atimize
ndoto zake
12:Jipe amani ya moyo kwa
kusamehe
13: la mwisho,jifanyie wewe
mwenyewe,Acha kufanya kitu kibaya ulichokuwa unaufanyia mwili wako,pengine
uvutaji wa sigara,ulevi wa kupita kiasi etc
....HAIJALISHI NI KIDOGO
KIASI GANI UTAKACHOKIFANYA,KUWEKA TABASAMU KWA MTU,NDICHO KINACHO MATTER
...Siku njema
没有评论:
发表评论