PRODUCER MSWAKI ANAENDA KWA WAZAZI WA RIP NGWEA ILI APEWE RUKSA YA PROJECT YAKE YA KEEPING NGWEA ALIVE
KWA WAKATI HUU THE MULTI TALENTED PRODUCER AMBAYE PIA NI RAPPER CEO
WA BLACK CURTAINS RECORDS, ANA PROJECT INAITWA KEEPING NGWAIR ALIVE,
ITAKUA NI ALBUM YENYE NGOMA KADHAA, NA YEYE MSWAKI ANA
RAP KWA KUTUMIA STYLE YA ALBERT MANGWEA, TAYARI AMESHA RELEASE NGOMA
MBILI MOJAWAPO NI OPEN LATER NA NYINGINE INAITWA GHETTO AMEI RELEASE
HIVI KARIBUNI
JE NGWEA ANGEKUA HAI ANGERAP KWA STYLE HIYO?
MSWAKI PIA AKAZUNGUMZIA MPANGO WAKE WA KWENDA KUPATA BARAKA ZA MAMA ALBERT, KABLA YA KUIFANYA PROJECT HIYO KWA UKUBWA ZAIDI
MSWAKI ANAONDOKA KESHO KUELEKEA MOROGORO KWA KINA NGWEA, SWALI JE,
MSWAKI ATAKUBALIWA KUFANYA ANACHOKIFANYA KUTOKA KWA FAMILIA YA THE LATE
ALBERT MANGWEA?
没有评论:
发表评论