Jana kupitia akaunti yake ya Instagram msanii D Banj alitambulisha bidhaa zake mpya zitazoingia sokoni hivi karibuni. Katika ujumbe alioumbatanisha na picha hapo juu D Banj alisema “ Finally here after 5 yrs.I can proudly say #KokoGarri is the firSt product of Koko Holdings, thanks to God, @oneinafrica, #DoAgric It Pays and #Nagropreneurs. Join me youths, we can do this ”
D Banj aliitambulisha bidhaa yake hiyo katika uzinduzi wa kampeini ya One Do Agric iliyofanyika siku ya jana katika Hotel ya Transcorp Hilton iliyopo mjini Abuja, Nigeria
没有评论:
发表评论