2014年3月14日星期五

SAMIA HASSAN AMECHAGULIWA KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA BUNGE MAALUM LA KATIBA.


Wajumbe wa bunge maalum la katiba wamemchagua Samia Suluhu Hassan kuwa makamu mwenyekiti wa bunge hilo, hivyo atakuwa makamu wa Samwel Sitta ambaye alichaguliwa juzi kuwa mwenyekiti.

Akitangaza matokeo hayo msimamiziw a uchaguzi, katibu wa bunge Dr. Thomas Kashilia alismea  Samia Hassan alipata kura 390 na mgombe mwenzake Amina Abdala Amur amepata kura 126.

Leo wajumbe wote pamoja na mwenyekiti na makamu wake wataapishwa.

没有评论:

发表评论